Pages

Throwback, JOKES KENYA..., Lol....!! KUCHEKA NAYO!

Thursday, 26 June 2014

-Ujinga ni kudhani first born wa
mama mboga anaitwa "mboga"

-ujinga ni kureduce volume ya radio
ndo usome sms.

- Kumwagia plants Tusker eti una
refresh their roots.

-Kukatia dem kwa church hadi una
offer kumlipia sadaka.-Kuenda media house kuomba kazi
yakuosha vyombo vya habari.
-Kupeleka slimpossible compe
turkana.

-Ujinga ni nurse kuamsha mgonjwa
ameze dawa za kulala.

-Ujinga nikuenda Sunday school
boarding. Lol...

-Ujinga ni dem kuvaa tisho ya
nimechill na yet ako ball.

-Haiiiiiya! Ujinga ni kuchana veve na
lollipop, ati ni swag.

-Kusave mpango wa kando ati private
no! Kisha anakutext!
-Ujinga ni kuambia kiwete akanyagie
stori

-Ujinga ni..... Konda wa mat za Buru
kusema "Jogoo mbao,Jogoo mbao"
alafu Mluyha anasema "Nifungieko
pili". Lol....

-Ujinga ni kuapply lipstick kwa
forehead kumake up mind yako!

-A luhya man, fainted outside
Kenchic. A crowd gathered n
someone from the crowd said "give
him water, he will be fine". He
opened one eye n said "toka hapa
wewe. Ningetaka maji, ningefaint nje
ya Nairobi Water Company!!" Lol...

-Ujinga ni kushow Uhuru aende
hague na national anthem inaxema
tukae na uhuru

image

0 comments:

Post a Comment

 
Shinekenya © 2014 Designed by Madebe ,