1. Kama mimi si mrebo,usiniabie
ati mimi ni mrebo. Ati dio tu
niweze kuigia box. Ama dio carton.
Ogea ukweri. Sitakuuma. After
all,si wewe uriniumba. So makosa
si yako.
2. Ukinipromise utanipereka
Zanzibar,tafathari timiza Ahadi. Si
ati uniabie tutaeda Zanzibar arafu
unipereke Nyahururu. Ama Sagana.
Kwani Zanzibar yako inaedagwo na
Boda Boda??
3. Mimi ni mwanamke. Nahitaji
kukaa vizuri. Na nahitaji kupewo
pesa ya kujirebesa. Sio ati kazi tu
ni kunipea shirigi hamsini hamsini
kira mwezi. Unanipea hamsini
nipereke wapi? Kwani ni sadaka??
4. Tukikosana,WEWE DIO UKO KWA
MAKOSA. ALWAYS. Na
hatutabishana Kijana. Kubari
makosa na unyamaze. Na mapenzi
yaederee.
5. Kama ni date tafathari nipereke
hoteri za guvu. Hoteri ziko na
gumo. Nimechoka kuperekwo kwa
Mama Waithera. Na nimechoka
kutumia vikobe za mabati. Na
kukaria viti za bao.
6. Kama mipago yako sio
kunioa,tafathari kaa bari na mimi.
Usiniretee mushene,ati 'Oh
nakupeda,ati Oh,wewe nitaishi na
wewe mirere'' arafu uniwashanishe
kama lorry imeng'oka muguu kwa
barabara. Kichwa yangu inagoga
harusi,kama yako haigongi
arusi,jipe suguri.
7. Nikiria unafaa unikamate taitly
in your arms ukiniabia, 'Sorry
baibe. It gonna be orait' sio ati
mimi naria na wewe uko hapo
unanikodorea maitho kama
thinema. Mùgúrúki úyú.
8. Simu yagu ni yako. Na simu yako
ni yagu. Hakuna cha ati 'dont tash
my phone' . Actually,kira
Wednesday tutakuwo
tukibadirishana Sim Card.
9. Abia ma EX wako wote wakae
bari na wewe. As far as possible.
Kwanza wakiweza wahamie Meru.
Kama hawataki kuchomwo kama
mahidi. Na uwaabie wasiwahi
kukutext. Kitu chochote. Ama
wakati wowote. Ati kukuabia Gdnyt.
Mimi dio nafaa kudecide the kind
of night you will have.
10. Ukioba,lazima uobe kwa sauti.
Sio ati ujifiche kwa kakona ati
unaoba kimoyomoyo,razima niskie
kire unaabia Mugu. Ama rabda
unamwabia aniodoe kwa maisha
yako.
11. Watu wetu wanakuwaga weda
wazimu. Washana nao.
12. Razima uote na mimi. Every
night. Either uote na mimi. Ama
uote ukitegeneza pesa. Anythng
else ni hatia. Na ukiota na mimi
uhakikishe nimevaa vizuri. Sitaki
kuaibishwo kwa doto mimi.
13. Sipedi kukiss. I think ni ujinga
kumumunya mudomo ya mtu
mwingine,kwani ni peremede ya
KSL??
14. Sinaga hobby. So,sitaki maswari
za ujiga ati 'What is your hobby?' .
Actuarry hobby yagu ni moja tu.
Kukupeda. Iyo dio hobby yangu.
15. Utanipereka kwenyu rini?
Harakisha. Napeda kutebea.
16. We will never break-up.
Ukinipeda hauna bahati.
Utanipeda mirere. Kama vire Yesu
aripeda Kanisa.
17. Sipedi kushikwo mkono in
public. Kwani mimi ni mtoto?? Ama
wewe ni baba yagu??
18. Energy Drinks nimekataa. Hizo
haufai kukunywa...Unataka Energy
ya nini??? Ya kuniwacha???
Ama ya kutoroka??
19. Na pia sipedi kudara darwo
ovyo ovyo. Unanidara kwani mimi
ni Pages za Bible ya Juliani??
20. Sex tutakuwa tunafanya the
godly way. Yaani ire styro ya
kawaida ya mababu wetu. Sitaki ati
uniretee styro zingine hapa za
kishetani. Ati 'Oh rara ivi,ati Oh
weka miguu nyuma ya kishwa...ati
Oh twede kwa kiti...' Kwani wewe ni
Devil Worshipper??
Anyway,KARIBU KWA ROHO YAGU.

ati mimi ni mrebo. Ati dio tu
niweze kuigia box. Ama dio carton.
Ogea ukweri. Sitakuuma. After
all,si wewe uriniumba. So makosa
si yako.
2. Ukinipromise utanipereka
Zanzibar,tafathari timiza Ahadi. Si
ati uniabie tutaeda Zanzibar arafu
unipereke Nyahururu. Ama Sagana.
Kwani Zanzibar yako inaedagwo na
Boda Boda??
3. Mimi ni mwanamke. Nahitaji
kukaa vizuri. Na nahitaji kupewo
pesa ya kujirebesa. Sio ati kazi tu
ni kunipea shirigi hamsini hamsini
kira mwezi. Unanipea hamsini
nipereke wapi? Kwani ni sadaka??
4. Tukikosana,WEWE DIO UKO KWA
MAKOSA. ALWAYS. Na
hatutabishana Kijana. Kubari
makosa na unyamaze. Na mapenzi
yaederee.
5. Kama ni date tafathari nipereke
hoteri za guvu. Hoteri ziko na
gumo. Nimechoka kuperekwo kwa
Mama Waithera. Na nimechoka
kutumia vikobe za mabati. Na
kukaria viti za bao.
6. Kama mipago yako sio
kunioa,tafathari kaa bari na mimi.
Usiniretee mushene,ati 'Oh
nakupeda,ati Oh,wewe nitaishi na
wewe mirere'' arafu uniwashanishe
kama lorry imeng'oka muguu kwa
barabara. Kichwa yangu inagoga
harusi,kama yako haigongi
arusi,jipe suguri.
7. Nikiria unafaa unikamate taitly
in your arms ukiniabia, 'Sorry
baibe. It gonna be orait' sio ati
mimi naria na wewe uko hapo
unanikodorea maitho kama
thinema. Mùgúrúki úyú.
8. Simu yagu ni yako. Na simu yako
ni yagu. Hakuna cha ati 'dont tash
my phone' . Actually,kira
Wednesday tutakuwo
tukibadirishana Sim Card.
9. Abia ma EX wako wote wakae
bari na wewe. As far as possible.
Kwanza wakiweza wahamie Meru.
Kama hawataki kuchomwo kama
mahidi. Na uwaabie wasiwahi
kukutext. Kitu chochote. Ama
wakati wowote. Ati kukuabia Gdnyt.
Mimi dio nafaa kudecide the kind
of night you will have.
10. Ukioba,lazima uobe kwa sauti.
Sio ati ujifiche kwa kakona ati
unaoba kimoyomoyo,razima niskie
kire unaabia Mugu. Ama rabda
unamwabia aniodoe kwa maisha
yako.
11. Watu wetu wanakuwaga weda
wazimu. Washana nao.
12. Razima uote na mimi. Every
night. Either uote na mimi. Ama
uote ukitegeneza pesa. Anythng
else ni hatia. Na ukiota na mimi
uhakikishe nimevaa vizuri. Sitaki
kuaibishwo kwa doto mimi.
13. Sipedi kukiss. I think ni ujinga
kumumunya mudomo ya mtu
mwingine,kwani ni peremede ya
KSL??
14. Sinaga hobby. So,sitaki maswari
za ujiga ati 'What is your hobby?' .
Actuarry hobby yagu ni moja tu.
Kukupeda. Iyo dio hobby yangu.
15. Utanipereka kwenyu rini?
Harakisha. Napeda kutebea.
16. We will never break-up.
Ukinipeda hauna bahati.
Utanipeda mirere. Kama vire Yesu
aripeda Kanisa.
17. Sipedi kushikwo mkono in
public. Kwani mimi ni mtoto?? Ama
wewe ni baba yagu??
18. Energy Drinks nimekataa. Hizo
haufai kukunywa...Unataka Energy
ya nini??? Ya kuniwacha???
Ama ya kutoroka??
19. Na pia sipedi kudara darwo
ovyo ovyo. Unanidara kwani mimi
ni Pages za Bible ya Juliani??
20. Sex tutakuwa tunafanya the
godly way. Yaani ire styro ya
kawaida ya mababu wetu. Sitaki ati
uniretee styro zingine hapa za
kishetani. Ati 'Oh rara ivi,ati Oh
weka miguu nyuma ya kishwa...ati
Oh twede kwa kiti...' Kwani wewe ni
Devil Worshipper??
Anyway,KARIBU KWA ROHO YAGU.

0 comments:
Post a Comment