Pages

Mortuary denies attending to a fat person - sheng edition

Friday, 11 July 2014

Kama kuna idhaa haijawaileta
shangwe, ni saa zenye wasee
wanakamanyuria. Lakini kitu huwa
boree zaidi ni kufanya mpango za
mangata kabla mazishi.
Sa Funeral Director mjamo
alishangaa sana baada ya
kulazimishwa na mocha nifla, kukaa
na msee amededi kwa ndai yake.
Mocha ilidai eti huyo msee ni
kanono sana na hawana space ya
kumweka. Yaani frigesa zao
hazingeweka msee zaidi ya kilo
rwabe.
Joanne Cummings, naye anadai
ilibidi amedunga hema hasapo kwa
hearse yake, ikibidi ameiwekea ngata
mara tatu, usiku mzima, akingoja
wadhii wa mocha wajipange.
Kwani mocha hazijatambua kuna
wasee wazito huko njei bado?
Itakuaje mocha imekosa mpango
hivyo?

0 comments:

Post a Comment

 
Shinekenya © 2014 Designed by Madebe ,