Imebaki team za futa Nigeria
zimegeiwa sasi na FIFA baada yaku
chuja wasee wa Nigeria Football
Federation(NFF), na kureplace na
sole administrator. FIFA inadai
watachorea kuwakazi kwa shuguli za
futa once wamechagua executive
committee ya (NFF) yenye inafaa.
Kulingana na hii statement ilikuwa
inadaisha NFF haitaweza wakilisha
kwa mechi zozote zenye zitafanyika
regional, continental ama
international zikiaffect hadi level za
ma klabu na friendly matches.
Juu ya hii risto sasa team ya kidem
ya Nigeria under-20 haitaweza
wakilisha kwa Women World Cup
2014 husuko Canada na zitakuwa
zinaanza hapo 5 August 2014.
Kama Nigeria haita lift hiyo burn by
15 July then hawa madem hawata
weza kuwakilisha nchi yao.
Gava ya Nigeria inadaisha hii move
ilikuwa essential ili waweze
kuchagua wasee wanafaa kwa hizo
post za NFF, juu team ya Nigeria
imekuwa ikiperform viudu sana.
Tunacheki NFF President Aminu
Maigari alidandiwa na ma mbang’a
alipo dondoka ndege akitoka Brazil
baada ya kuchujwa kwa round 2 ya
FIFA World Cup 2014 husuko Brazil.
Ata hivyo Maigari alirudi aka
achiliwa baada ya maidhaa kiasi
kushinda rundema.
Kulingana na laws za FIFA gova
haifaikushugulika na shuguli zozote
za futa za kuchuja wasee wa local
body.
0 comments:
Post a Comment