Pages

Fan akagenya akicheki futaa

Thursday, 3 July 2014

FIFA World Cup ikiwa inaendelea
mamambo nazo zinazidi
kulipuka. On sato, Brazil ikiwa
inagusa na Chile kwa raund ya last
16 kuna bazenga flani alikamanyuria
akiwa ana watch hiyo game. Husuyu
anadaisha alipatikana na heart
failure akiwa anayebi futa.
Husuyu bazenga alikuwa ana watchia
hii dimba kwa baesa yenye iko karibu
na Mineirao Stadium Horizonte
pahali hiyo game ilikuwa
inachezewa. Inasemekana ali
kamanyuria immediately ameland
hosi.Madoki wakadaisha jo!
kumekuwa na kesi mob sana . Health
Officials wanadai hii game ikiwa
inachezwa walikuwa wanatreat
karibu wasee 98, including mokoro
nifla wa miaka chwani. Alafu pia
pakakuwa na kijana flani alikuwa
ameumia mapuwa juu ya vita.
Game yenyewe iliisha 1-1 baadae
ikaenda hadi extra time but Brazil
wakatokelezea kama machampe,
baada ya kushinda through ma
pena . Inasemekana tona ya raund
this ndio imekuwa na casualties
wengi sana. Tunacheki risto ingine
ya huyu fan kutoka Brito alikatwa
maskio. Eti ali attackiwa after game
ya England na Uruguay June 19.
Alafu siku tano baadae huyu striker
wa Uruguay ku attack player wa Italy
Giorgio Chiellini.

image

0 comments:

Post a Comment

 
Shinekenya © 2014 Designed by Madebe ,